KAMA kuna msanii aliyesaidia kuwaliwaza Waarabu hasa wa kwao Lebanon basi ni mwimbaji Nouhad Wadie’ Haddad ‘Fairuz’.
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) juzi ilitangaza kuvunja rekodi ya makusanyo kwa mwaka 2024 baada ... Sababu nyingine ni kusimamia ushirikiano baina ya TRA, wizara, taasisi na ofisi nyingine za ...
Ninawaalika raia wa Guinea, ambao hisia zao za juu za uzalendo na uwajibikaji ni wa kupigiwa mfano, kukuza zaidi udugu, mshikamano na uvumilivu. " Pia ametoa wito kwa wadau wa kisiasa, akiwataka ...
Mwaka 2024 wasanii wa Bongo Fleva wameendelea kuachia albamu na Ep ikiwa kama sehemu ya kuendelea kujitanua kimuziki na kujitangaza zaidi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Mfumo wa usikilizaji wa ...
Dar es Salaam. Kwa zaidi ya miaka 10 Darassa amefanya muziki tofauti kabisa na rapa wenzake, uwezo wake wa kuchanganya vionjo na utunzi wa aina yake umefanya nyimbo zake kupendwa na watu wengi na ...
URUSI: RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa Urusi ina haki ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya nchi yoyote itakayoleta tishio dhidi yake. Akizungumza katika mkutano wake wa kila mwaka na ...
Soma: Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zaanza Tanzania Msemaji wa ACT Wazalendo anayehusika na masuala ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Rahma Mwita amelaani vikali matukio ya kutekwa ...