MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA) imewatua ndoo kichwani wananchi wa kijiji cha Donde Kiungani kwa kuwachimbia kisima ... Nilikuwa nikiamka asubuhi tu nawaza kwenda kutafuta maji hali ambayo ...
WATU wote wanaomiliki pasipoti kutoka barani Afrika, sasa wanaweza kuzuru Ghana bila kuhitaji Visa. Rais anayemaliza muda wake, Nana Akufo-Addo, amesema. Alitangaza mpango huo mwezi uliopita, lakini ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita imekusudia kuendelea kuboresha ...