Dar es Salaam. Vita ya kukabiliana na dawa za kulevya zinazoathiri nguvu kazi ya Taifa hasa vijana, imeendelea kushika kasi na sasa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa ...
Imezoeleka kwa watu hasa wasafiri kutumia tafsida wanapotaka kwenda haja kubwa au ndogo. Maneno maarufu ni ‘kukata gogo’ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo wakisema ‘wanakwenda kuchimba dawa’.