Rais mteule wa Marekani Joe Biden amelaani kitendo cha Donald Trump kukubali kuwa ameshindwa katika uchaguzi wa rais, amesema kuwa 'anatuma ujumbe mbaya sana kuhusu Marekani'. Bwana Biden amesema ...
Magavana wa majimbo ya Michigan na Maryland Jumapili walimlaumu Bwana Trump kwa ongezeko la simu za dharura latika vituo vya dharura. Kufuatia ukosoaji mkubwa kutoka kwa wataalamu wa tiba ...