BWANA harusi, Vicent Massawe (36) anayedaiwa kujiteka mwenyewe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo. Massawe, amesomewa mashtaka mawili, likiwamo la tuhuma ...