KAMA kuna msanii aliyesaidia kuwaliwaza Waarabu hasa wa kwao Lebanon basi ni mwimbaji Nouhad Wadie’ Haddad ‘Fairuz’.
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) juzi ilitangaza kuvunja rekodi ya makusanyo kwa mwaka 2024 baada ... Sababu nyingine ni kusimamia ushirikiano baina ya TRA, wizara, taasisi na ofisi nyingine za ...
Ninawaalika raia wa Guinea, ambao hisia zao za juu za uzalendo na uwajibikaji ni wa kupigiwa mfano, kukuza zaidi udugu, mshikamano na uvumilivu. " Pia ametoa wito kwa wadau wa kisiasa, akiwataka ...
LINDI: WAZIRI Mkuu wa Nchi, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti ...
Mwaka 2024 wasanii wa Bongo Fleva wameendelea kuachia albamu na Ep ikiwa kama sehemu ya kuendelea kujitanua kimuziki na kujitangaza zaidi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Mfumo wa usikilizaji wa ...
Dar es Salaam. Kwa zaidi ya miaka 10 Darassa amefanya muziki tofauti kabisa na rapa wenzake, uwezo wake wa kuchanganya vionjo na utunzi wa aina yake umefanya nyimbo zake kupendwa na watu wengi na ...