Kama tunavyojua kuna mambo matatu ambayo ni hakika maishani: kodi, kifo, na kwamba kila mwezi Disemba, All I Want for Christmas Is You itakuwa sehemu ya orodha ya nyimbo za Krismasi. Ima uko ...
Mwezi Disemba ukishika kasi tunajikuta tukikaribisha msimu wa sherehe, nyimbo za krismasi huanika kila pembe ulimwenguni, mapambo ya rangi na watu wakimiminika sokoni na madukani kununua ...
Aliyekuwa Waziri wa Nishati, ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema Steven Wasira kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni sahihi kwani amekulia katika misingi ya chama.
Upande wa Boomplay Music, nyimbo za Diamond kwa 2024 zimesikilizwa (streams) zaidi ya mara milioni 132, akifuatiwa na Jay Melody mwenye milioni 110, kisha Marioo (80), Zuchu (78), Harmonize (72), ...