SULUHU iliyoipata juzi timu ya JKT Tanzania ikiwa ugenini, Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi dhidi ya Namungo FC, imeifanya timu hiyo kucheza mechi tatu bila kufunga bao wala kupata ushindi ...
MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA) imewatua ndoo kichwani wananchi wa kijiji cha Donde Kiungani kwa kuwachimbia kisima ... Nilikuwa nikiamka asubuhi tu nawaza kwenda kutafuta maji hali ambayo ...
TUNAPOANZA mwaka huu wa 2025 matumaini, ni wakati sahihi kutafakari maendeleo ya Tanzania. Desemba 18, 2024 Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF ... wa kodi na kupanua wigo wa vyanzo vya kodi hali ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameomba radhi kufuatia ajali ya ndege ya shirika la Azerbaijan, lakini bila ya kukiri kwamba huenda ndege hiyo ilishambuliwa na Urusi. Putin alikiri kwamba mifumo ya ...
Waziri wa Nchi Fedha na Mipango, Dk Saada Mkuya akimtwisha ndoo ya maji ... kutupunguzia adha hii ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma hizo katika vijiji vingine," amesema. Khamis Abdul Nadir, ...
Kikosi cha 7 cha Walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania, TANBAT 7 kilichokuwa kinahudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuleta Utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR (MINUSCA ...
“Hakikisheni wanafunzi wote wanafundishwa hivyo na siyo kwa kutumia ramani ya google ambayo ina makosa,” amesema Dk Mtahabwa. Amesema wizara hiyo ilipokea barua kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Novemba ...
Wajumbe wote 15 wa Baraza la Usalama, kwa pamoja leo Desemba 20 wamepiga kura ya ndio kukubaliana na mambo yote yaliyokuwa kwenye azimio. MONUSCO ilichukua hatamu kutoka kwa operesheni ya awali ya ...
Badala yake, wewe: Chunguza Tatizo: Unapokea habari (kama kusoma sheria za mafumbo) Fikiri Kimya: Ubongo wako huchunguza uwezekano nyingi bila kuziweka kwa maneno Shiriki Suluhisho ... ikilinganishwa ...
Amesema kupitia filamu ya “Tantalizing Tanzania” inawakilisha maendeleo makubwa katika kuongeza ufahamu wa Tanzania kama kivutio cha utalii nchini India, na kwamba filamu hiyo itaongeza idadi ya ...
wasanii kutoka Tanzania Bara, Zanzibar, Ghana na Senegal wameshiriki. Ni wiki muhimu kwa wasanii wa kuchora, kuchonga, na picha ndani na nje ya zanzibar wanaokutana hapa kuonesha kazi zao za sanaa ...
Hivi sasa Serikali ya Tanzania inaelekeza jitihada zake za ujenzi wa reli wa awamu ya pili yenye urefu wa kilometa 336 kutoka Morogoro mpaka Dodoma yalipo makao makuu ya nchi na tayari serikali ya ...