WATU wote wanaomiliki pasipoti kutoka barani Afrika, sasa wanaweza kuzuru Ghana bila kuhitaji Visa. Rais anayemaliza muda wake, Nana Akufo-Addo, amesema. Alitangaza mpango huo mwezi uliopita, lakini ...