Dar es Salaam. Mjadala ulioibuliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kuhusu ukomo wa madaraka umezidi kupamba moto ndani na nje ya chama hicho, kila upande ukizungumzia suala hilo ...
"Mimi ni muumini wa serikali tatu, Muungano, Tanganyika na Zanzibar kwa katiba Jaji Warioba, watu wanajipa madaraka kwa maslahi yao, hatuwezi kuvumilia hali hii" "Tunaenda kwenye uchaguzi mkuu 2025, ...
“Tabia hii ya kung’ang’ania madaraka ni matokeo ya kulimbikiza madaraka mikononi mwa mkuu wa nchi, madaraka yanatekelezwa bila kikomo na bila uwajibikaji, pamoja ubadhirifu.'' ...