WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema, itaendelea kuwekeza kwenye Utafiti, Elimu ya tiba ili kupata idadi kubwa ya wataalam watakaotoa huduma zinazozingatia utu na ubinadamu. Hayo yamesemwa ...
KWA miongo kadhaa, wadau wa elimu wamekuwa wakitoa maoni kwamba mfumo wa elimu ulioko nchini, hauendani na mazingira ya sasa ya sayansi na teknolojia pamoja na hali halisi ya maisha. Sababu kubwa ...
Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania(TEN/MET) Martha Makalla akizungumzia kongamano la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC) linalotarajiwa kufanyika nchini Novemba 12 hadi 14 mwaka huu. Dar es Salaam.
Katika siku ya mwaka huu Umoja wa Mataifa unaangazia kauli mbiu "Jukumu la elimu katika kulinda na kuwawezesha vijana kwa mustakabali usio na majanga" siku ambayo huadhimishwa kila mwaka Oktoba 13 ...
Migogoro inayoendelea kote Afrika Magharibi na Kati imevuruga elimu ya watoto wapatao milioni 2.8, kulingana na ripoti ya hivi majuzi ya Umoja wa Mataifa. Idadi ya watoto wasiokwenda shule ni ...
Arusha. Watoa huduma za bima Kanda ya Kaskazini wametakiwa kutoa elimu zaidi juu ya bima kwa wananchi wanaowahudumia, kwa sababu wengi wao hawana uelewa wa kutosha kuhusu maswala hayo. Hayo yamesemwa ...
Timu yetu inafanya kazi bila kuchoka kusaidia familia zilizokimbia makazi yao." Vita inayoendelea Gaza inaathiri kwa kiwango cha juu elimu ya watoto, na huenda ikairudisha nyuma kwa hadi miaka mitano, ...