Imezoeleka kwa watu hasa wasafiri kutumia tafsida wanapotaka kwenda haja kubwa au ndogo. Maneno maarufu ni ‘kukata gogo’ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo wakisema ‘wanakwenda kuchimba dawa’.