Maelezo ya picha, Mwanachama wa upinzani mwenye silaha akipeperusha bendera ya Hayat Tahrir al-Sham juu ya kifaru huko Saraqib, mkoani wa Idlib, Desemba 1, 2024. 4 Disemba 2024 Makundi ya upinzani ...
Kupinduliwa ghafla kwa Rais Bashar al-Assad na kusambaratika kwa utawala wake kumezua taharuki Mashariki ya Kati. Zaidi ya maili 2,000,mjini Kremlin kuna tatizo. Ghafla, hatima ya Jeshi la Afrika ...