MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Yusufu Mwenda amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kutoa fedha ...
Jumapili ya Januari 13, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa ‘Jux’, Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania ...
HERI ya Mwaka Mpya msomaji wangu. Tumshukuru sana Mungu kwa uhai huu aliotukarimu kwa upendo wake mwingi. Tunaendelea kumulika anga la wanaume. Makala ya mwisho mwaka jana, tulianza kuangalia mambo ya ...
LEO Januari 12, imedondokea siku ile ya Januari 12, 1964. Ilikuwa ni siku ya Jumapili kama leo. Katika siku hii, Watanzania ...
“Mungu wangu! Tumekwisha, akiwamaliza si atatugeukia na sisi ... Hakika eneo lilikuwa kubwa na limependeza sana kwa unadhifu, majengo na watu wake. Alipofika alishangaa kuona mazingira ya pale kila ...
Dar es Salaam. Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia ...
Kuna mabadiliko makubwa tu na nafanya kazi freshi tu. Kuhusu mashabiki kuwapoteza? Rich: Hapana, mashabiki wangu wapo na naendelea kuwa nao sijaona kama nimewapoteza sababu toka nimeanza kutoa nyimbo ...