DAR ES SALAAM; Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo ...
DAR ES SALAAM; Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amehimiza watumishi ...
Yanga itakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kuikaribisha TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na AU zimeombwa kudumisha ushirikiano ili kufungua mipaka ya biashara katika ukanda wa ...
Madereva hao 30 wamefungiwa leseni zao za udereva kwa miezi sita ikiwa ni adhabu ya kukutwa na vilevi. Kamanda wa Polisi ...
MAADHIMISHO ya Siku ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU), yalifanyika Julai 7, 2024 nchini Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na ...
BALOZI wa Marekani nchini, Michael Battle ameisifia treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kwa huduma bora na huku akisema amesafiri ...
MKUU wa Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Volker Turk, amekaribisha uamuzi wa Zimbabwe wa kufuta hukumu ya kifo.
KAMPALA : UGANDA itazindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza Julai.
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) juzi ilitangaza kuvunja rekodi ya makusanyo kwa mwaka 2024 baada ya kukusanya ...
SERIKALI imepongezwa kwa jitihada kubwa za kuendelea kuweka mazingira rafiki yanayomwezesha mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo na ...
TUNAPOANZA mwaka huu wa 2025 matumaini, ni wakati sahihi kutafakari maendeleo ya Tanzania. Desemba 18, 2024 Shirika ...