Iran inasema "itafanya juhudi" za kusaidia kuimarisha usalama na uthabiti nchini Syria baada ya kuangushwa kwa Rais Bashar al-Assad. Iran kwa muda mrefu imekuwa ikiunga mkono serikali ya Assad.