Machinga wemekuwepo nchini Tanzania kwa miaka mingi. Desemba mwaka jana, Rais John Pombe Magufuli alizindua vitambulisho 670,000 vya kukabidhiwa kwa wakuu wa mikoa kwa ajili ya matumizi ya ...
IMF imezingatia masuala kadhaa ambayo pia uchambuzi wa kiuchumi unayabainisha kama mambo muhimu ambayo yanaipa Tanzania nafasi kubwa ya kuipiku Kenya kiuchumi inayoongoza Afrika Mashariki na ...