Hii leo Kenya inaadhimisha sikukuu ya Madaraka. Serikali imeandaa sherehe ... Rais Uhuru kenyatta na naibu wake William Ruto tayari wamewasili huko Nakuru na kukagua guaride la heshima.