Katika siku za hivi karibuni, vikosi vya DR Congo vimeongeza operesheni za usalama katika mji wa Lubumbashi katika jimbo la Katanga ambako mgombea urais Moïse Katumbi ana nguvu na aliwahi kuongoza.
Virusi vilisambaa kwa kiasi kikubwa, mpaka nchi jirani ya Congo Brazzaville na katika maeneo ya migodi, katika jimbo la Katanga. Chanzo cha picha, BBC World Service Ukimwi ulitambulika kuwa janga ...